INUA JAMII PROGRAM -KCB BANK PORT VICTORIA

INUA JAMII PROGRAM -KCB BANK PORT VICTORIA

Bulala 107.5 FM Community Radio

Share:
Share:
AFUENI KWA FAMILIA MAHIJAI MAALUM Wizara ya Utumishi wa Umma, Jinsia, Masuala ya Wazee na Mipangilio Maalum imeanzisha mpango wa usajili wa uhawilishaji fedha wa Inua Jamii unao lenga Wazee (miaka 70 na Zaidi), Watu Wanaoishi na Ulemavu na Watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu katika ofisi zao Budalang'i. Ikumbukwe kuwa huu ni mpango mpya ambao unawalenga wale wanao sajiliwa kwa mara ya kwanza na wale walionufaika hapo awali, kwa hiv...Read More
AFUENI KWA FAMILIA MAHIJAI MAALUM Wizara ya Utumishi wa Umma, Jinsia, Masuala ya Wazee na ...Read More